Thursday, 13 June 2013

Habari zilizo fika kutoka kwa familia ya msanii langa zinasema kuwa ndugu yao amefariki dunia katika hospital kuu ya taifa ya muhimbili kwa kile kilichodaiwa kuwa alipatwa na malaria kali.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU LANGA MAHALA PEMA PEPONI.

No comments:

Post a Comment